\v 139 Hasira imeniangamiza kwa sababu adui zangu husahau maneno yako. \v 140 Neno lako limepimwa sana, naye mtumishi wako analipenda.