\v 137 Wewe ni mwenye haki, Yahwe, na amri zako ni haki. \v 138 Umezipa amri za agano lako haki na uaminifu.