\v 127 Hakika ninazipenda amri zako kuliko dhahabu, naam, kuliko dhahabu safi. \v 128 Hivyo ninayafuata maagizo yako yote kwa makini, na ninachukia kila njia ya uongo. PE.