\v 121 Ninafanya kilicho sahihi na haki; usiniache kwa watesi wangu. \v 122 Uwe mdhamini wa ustawi wa mtumishi wako; usiwaache wenye kiburi wanionee.