\v 109 Uhai wangu ziku zote uko mkononi mwangu, lakini bado sisahau sheria yako. \v 110 Waovu wamenitegea mtego, lakini sijapotea mbali na maagizo yako.