\v 101 Nimeiepusha miguu yangu na kila njia ya uovu ili niweze kulitii neno lako. \v 102 Sijaenda kinyume na amri zako za haki, kwa maana wewe umenifundisha.