1 line
225 B
Plaintext
1 line
225 B
Plaintext
\v 12 Yahwe hutukumbuka sisi na atatubariki; ataibariki familia ya Israeli; atabariki familia ya Haruni. \v 13 Atawabariki wale wanao muheshimu yeye, wote vijana na wazee. \v 14 Yahwe na awabariki, aliyeziumba mbingu na nchi. |