\v 5 Sanamu hizo zina vinywa, lakini haziongei; zina macho, lakini hazioni; \v 6 zina masikio, lakini hazisikii; zina pua lakini hazinusi.