\v 3 Mungu wetu aliye mbinguni; hufanya chochote apendacho. \v 4 Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, kazi ya mikono ya wanadamu.