1 line
216 B
Plaintext
1 line
216 B
Plaintext
\v 44 Hata hivyo, aliiangalia dhiki yao aliposikia kilio chao kwa ajili ya msaada. \v 45 Alikumbuka agano lake pamoja nao na alijirudi kwa sababu ya upendo wake thabiti. \v 46 Aliwafanya wote waliowateka wawahurumie. |