|
\v 37 Waliwatoa wana wao na binti zao kwa mapepo. \v 38 Walimwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana na binti zao, ambao waliwatoa kama dhabihu kwa sanamu za Kanaani, waliinajisi nchi kwa damu. \v 39 Walinajisiwa kwa matendo yao; katika matendo yao walikuwa kama malaya. |