sw_psa_text_ulb/106/16.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 16 Katika kambi wakawa na wivu juu Musa na Haruni, kuhani mtakatifu wa Yahwe. \v 17 Nchi ilifunguka na ilimmeza Dathani na iliwafunika wafuasi wa Abiramu. \v 18 Moto uliwaka kati yao; moto uliwaangamiza waovu.