sw_psa_text_ulb/106/03.txt

1 line
281 B
Plaintext

\v 3 Wamebarikiwa wale watendao yaliyo mema na matendo yao yaliyo haki siku zote. \v 4 Ukumbuke, Ee Yahwe, unapowaonesha watu wako neema; unisaidie unapowaokoa. \v 5 Ndipo nitaona mafanikio ya wateule wako, wakifurahia katika furaha ya taifa lako, na utukufu pamoja na urithi wako.