\v 17 Wakati huo, atajibu maombi ya fukara; hatayakataa maombi yao. \v 18 Hii itaandikwa kwa ajili ya vizazi vijavyo, na watu ambao bado hawajazaliwa watamsifu Yahwe.