1 line
160 B
Plaintext

\v 7 Ninalala macho kama shomoro faraghani, pekeyake juu ya paa. \v 8 Adui zangu wananilaumu mchana kutwa; wale wanao nidhihaki hutumia jina langu katika laana.