sw_psa_text_ulb/99/08.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 8 Wewe uliwajibu, Yahwe Mungu wetu; ulikuwa kwao Mungu mwenye kusamehe, lakini uliye adhibu matendo yao ya dhambi. \v 9 Msifuni Yahwe Mungu wetu, na mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu; maana Yahwe Mungu wetu ni Mtakatifu.