sw_psa_text_ulb/84/05.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 5 Amebarikiwa mtu yule ambaye nguvu zake ziko katika wewe, katika moyo wake mna njia kuu ziendazo mpaka Sayuni. \v 6 Wanapopita katika bonde la machozi, hupata chemichemi ya maji kwa ajili ya kunywa. Mvua ya vuli hulivika baraka.