1 line
300 B
Plaintext
1 line
300 B
Plaintext
\v 3 Hata Shomoro naye amepata nyumba yake na mbayuwayu amejipatia kiota kwa ajili yake mwenyewe, mahali awezapo kuweka makinda yake karibu na madhabahu yako, Ee Yahwe wa majeshi, Mfalme wangu, na Mungu wangu. \v 4 Wamebarikiwa wale ambao huishi katika nyumba yako; nao hukusifu wewe siku zote. Sela |