sw_psa_text_ulb/77/18.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 18 Sauti yako kama ya radi ilisikika katika upepo; radi iliwasha dunia; nchi iliogopa na kutetemeka. \v 19 Njia yako ilipita baharini na mapito yako katika maji mengi, lakini alama za miguu yako hazikuonekana. \v 20 Uliwaongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Musa na Haruni.