|
\v 10 Bali wewe, Yahweh, unihurumie na uniinue ili kwamba niwalipizie kisasi. \v 11 Na hivi nitajua kuwa unafurahishwa nami, kwa kuwa adui yangu hatafurahia kunishinda. \v 12 Kwangu mimi, wewe unanisaidia katika uadilifu wangu na utaniweka mbele ya uso wako milele. |