sw_psa_text_ulb/150/03.txt

1 line
211 B
Plaintext

\v 3 Msifuni kwa mlipuko wa pembe; msifuni kwa kinanda na kinubi. \v 4 Msifuni kwa ngoma na kucheza; msifuni kwa vyombo vya nyuzi na filimbi. \v 5 Msifuni kwa matoazi yavumayo; msifuni kwa matoazi yavumayo sana.