sw_psa_text_ulb/138/03.txt

1 line
179 B
Plaintext

\v 3 Siku ile niliyo kuita, ulinijibu; ulinitia moyo na kuitia nguvu nafsi yangu. \v 4 Wafalme wote wa nchi watakushukuru wewe, Yahwe maana watasikia maneno kutoka kinywani mwako.