sw_psa_text_ulb/138/01.txt

1 line
277 B
Plaintext

\c 138 \v 1 Nitakushukuru kwa moyo wangu wote; mbele ya miungu nitakuimbia sifa. \v 2 Nitasujudu mbele ya hekalu lako takatifu, na kulishukuru jina lako kwa ajili ya upendo wako na kwa uaminifu wako; kwa kuwa umelifanya muhimu zaidi neno lako na jina lako kuliko kitu chochote.