sw_psa_text_ulb/132/15.txt

1 line
162 B
Plaintext

\v 15 Nitapabariki sana kwa mahitaji; nitawatosheleza maskini wake kwa mkate. \v 16 Nitawavisha makuhani wake kwa wokovu, waaminifu wake watashangilia kwa furaha.