sw_psa_text_ulb/132/06.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 6 Tazama, tulisikia kuhusu hilo katika Efrata; tuliipata katika konde la Yearimu. \v 7 Tutaingia katika maskani ya Mungu; tutasujudu miguuni pake. \v 8 Inuka, Ee Yahwe, uje mahali pako pa kupumzika, wewe na sanduku la nguvu zako!