sw_psa_text_ulb/130/07.txt

1 line
146 B
Plaintext

\v 7 Israeli umtumainie Yahwe; kwa kuwa Yahwe ni mwenye huruma, na yuko tayari kusamehe. \v 8 Naye mwenyewe atakomboa Israeli na dhambi zake zote.