\v 6 Atukuzwe Yahwe, ambaye hajaruhusu tuwe mawindo kwa meno yao. \v 7 Tumetoroka kama ndege mtegoni mwa wawindaji; mtego umevunjika, nasi tumetoroka.