sw_psa_text_ulb/105/34.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 34 Alisema, na nzige wakaja, nzige wengi sana. \v 35 Nzige walikula mboga zao zote za majani katika nchi yao. Walikula mazao yote ardhini. \v 36 Aliua kila mzaliwa wa kwanza katika nchi yao, malimbuko ya nguvu zao.