\v 17 Yahwe ni mwenye haki katika njia zake zote na neema katika yote afanyayo. \v 18 Yahwe yu karibu na wote wamwitao, wale wamwitao yeye katika uaminifu. \v 19 Hutimiza haja za wale wanao mheshimu yeye; husikia kilio chao na kuwaokoa.