\v 14 Yahwe huwategemeza wote waangukao na huwainua wote walioinama chini. \v 15 Macho ya wote yanakungoja wewe; nawe huwapa chakula chao kwa wakati sahihi. \v 16 Huufungua mkono wako na hukidhi haja ya kila kiumbe hai.