\v 8 Yahwe ni wa neema na huruma, si mwepesi wa hasira na mwingi katika uaminifu wa agano lake. \v 9 Yahwe ni mwema kwa wote; huruma zake zi juu ya kazi zake zote.