1 line
283 B
Plaintext
1 line
283 B
Plaintext
\v 6 Wengi husema, "Ni nani atakaye tuonyesha chochote kilicho kizuri?" Yahweh, utuangazie nuru ya uso wako. \v 7 Umeupa moyo wangu furaha kuu kuliko wao wanapozidishiwa nafaka na divai mpaya. \v 8 Ni amani kuwa nitajilaza na kusinzia, kwako pekee, Yahwe, nifanye kuwa salama kabisa. |