sw_psa_text_ulb/04/04.txt

1 line
175 B
Plaintext

\v 4 Tetemekeni na kuogopa, lakini msitende dhambi! Tafakarini mioyoni mwenu kwenye vitanda vyenu na muwe kimya. \v 5 Toeni matoleo ya haki na muweke imani yenu katika Yahweh.