sw_psa_text_ulb/60/08.txt

1 line
205 B
Plaintext

\v 8 Moabu ni bakuli langu la kunawia; juu ya Edomu nitatupa kiatu changu; nitapiga kelele za ushindi kwa sababu ya Filisti." \v 9 Ni nani atakaye nileta kwenye mji imara? Ni nani ataniongoza kwenda Edomu?