1 line
285 B
Plaintext
1 line
285 B
Plaintext
\v 6 Kwa nini niwaogope wale wanao amini katika mali zao na kujivuna kuhusu utajiri wao? \v 7 Ni hakika kuwa hakuna yeyote atakaye muokoa ndugu yake au kumpa Mungu pesa kwa ajili yake, \v 8 Kwa maana ukombozi wa uhai wa mtu ni gharama kubwa, na hakuna awezaye kulipa kile tunachodaiwa. |