sw_psa_text_ulb/139/23.txt

1 line
166 B
Plaintext

\v 23 Ee Mungu, unichunguze na kuujua moyo wangu; unijaribu na uyajue mawazo yangu; \v 24 Uone kama kuna njia ya uovu ndani yangu, na uniongoze katika njia ya milele.