sw_psa_text_ulb/97/03.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 3 Moto huenda mbele zake, nao huwateketeza adui zake pande zote. \v 4 Taa yake huangaza ulimwengu; nchi huona na kutetemeka. \v 5 Milima huyeyuka kama nta mbele za Yahwe, Bwana wa dunia yote.