\v 4 Kwa maana hawana maumivu hadi kufa kwao, lakini wana nguvu na wameshiba. \v 5 Wako huru dhidi ya mizigo ya watu wengine; nao hawateswi kama watu wengine.