\v 8 Njoni, mtazame matendo ya Yahweh, uharibifu alioufanya juu ya nchi. \v 9 Anasitisha vita kwenye nchi; yeye anauvunja upinde na kuikata vipande vipande mishale; anazichoma ngao.