1 line
246 B
Plaintext

\v 2 Ni kama mafuta mazuri kichwani, yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, na yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake. \v 3 Ni kama umande wa Hermoni, uangukao milimani pa Sayuni; maana huko ndiko Bwana alipoamuru baraka, naam uzima milele na milele.