sw_psa_text_ulb/116/12.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 12 Nimlipeje Yahwe kwa wema wake wote kwangu? \v 13 Nitakiinua kikombe cha wokovu, na kuliitia jina la Yahwe. \v 14 Nitatimiza viapo vyangu kwa Yahwe katika uwepo wa watu wake wote. \v 15 Mauti ya wacha Mungu ina thamani machoni pa Mungu.