\v 5 Yahwe ni mwenye neema na haki; Mungu wetu ni mwenye huruma. \v 6 Yahwe huwalinda wasio na hila; nilishushwa chini akaniokoa.