sw_psa_text_ulb/111/07.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 7 Kazi za mikono yake ni za kuaminika na haki; maagizo yake yote ni ya kuaminika. \v 8 Yamethibitika milele, yamefanywa katika uaminifu na vizuri. \v 9 Aliwapa ushindi watu wake; aliliteuwa agano lake milele; jina lake ni takatifu na lakutisha.