sw_psa_text_ulb/08/03.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 3 Ninapozitazama mbingu, ambazo vidole vyako vimeumba, mwezi na nyota, ambazo umeziweka kila kimoja katika nafasi yake, \v 4 Binadamu ni nani hata umtazame, na watu hata uwajali wao? \v 5 Umewaumba chini kidogo kuliko viumbe vya mbinguni na umewazunguka na utukufu na heshima.