|
\v 8 Ondokeni kwangu, nyote mtendao maovu; kwa kuwa Yahwe amesikia sauti ya kilio changu. \v 9 Yahwe amesikia malalamiko yangu kwa ajili ya huruma; Yahwe ameyapokea maombi yangu. \v 10 Maadui zangu wote wataaibishwa na kuteswa sana. Watarudi nyuma na ghafla kufedheheshwa. |