\v 8 Uniombe, nami nitakupa wewe mataifa kwa ajili ya urithi na mikoa ya nchi iliyo bora kwa ajili ya umiliki wako. \v 9 Wewe utawavunja wao kwa fimbo ya chuma; kama vile mtungi wa mfinyanzi, wewe utawavunja wao vipande vipande."