sw_psa_text_ulb/42/03.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 3 Machozi yangu yamekuwa ni chakula changu mchana na usiku, wakati maadui zangu siku zote wanasema, "Yuko wapi Mungu wako?" \v 4 Mambo haya ninayakumbuka ninapoimimina nafsi yangu: nilipoenda na umati wa watu na kuwaongoza kwenye nyumba ya Mungu kwa sauti ya shangwe na kusifu, ni wengi tulisherehekea.