sw_psa_text_ulb/18/30.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 30 Kama kwa Mungu: njia yake ni kamilifu. Neno la Yahwe ni safi! Yeye ni ngao kwa yeyote anaye mkimbilia. \v 31 Kwa kuwa nani ni Mungu isipokuwa Yahwe? Nani ndiye mwamba isipokuwa Mungu wetu? \v 32 Ni Mungu anitiaye nguvu ndani yangu kama vile mkanda, ambaye humweka mtu mwenye lawama katika njia yake.