sw_psa_text_ulb/18/22.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 22 Kwa kuwa amri zake zote za haki zimekuwa mbele yangu; kama asemavyo, sijaenda kinyume nazo. \v 23 Pia nimekuwa sina hatia mbele zake, na nimejiweka mwenyewe mbali na dhambi. \v 24 Hivyo Yahwe amenirejesha kwa sababu ya haki yangu, na kwa sababu mikono yangu ilikuwa safi mbele ya macho yake.