\v 7 Kisha nchi ikatikisika na kutetemeka; misingi ya milima pia ilitetemeka na kutikiswa kwa sababu Mungu alikuwa amekasirika. \v 8 Moshi ulitoka kwa mapua yake, na moto mkali ulitokea kinywani mwake. Makaa yaliwashwa kwa moto huo.